kiapo cha damu

kiapo cha damu

ashy da don

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
615
Reaction score
671
Habari zenu wakuu..mim ni kijana wa miaka 22..Sikuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu, takribani miezi 3 ilyopita..basi baada ya upweke wote huo, mnamo mwaka huu mwezi wa pili niliamua kutafuta girlfriend..huyo girlfriend wangu nampenda na yeye ananipenda kwani toka tuwe wote hatujawahi kugombana wala kukwazana kwa hali yoyote ile..
Tatizo lililonileta hapa ni kwamba huyo mpenzi wangu kuna siku nilifanya naye mapenzi,basi baada ya kufanya nae tu nilipopiga goli la kwanza hamu yote ilikata na kwa kweli uume wangu ulishindwa kabisa kusimama kwa takriban dakika 20 hv ambayo c kawaida kwangu..Mpaka hapo baadaye uliposimama..Nikapanda tena mzigoni kwa mara ya pil nikafanakiwa kudumu kama dk 15 hivi kabla ya kupiga goli lapil na hapo uume ndo ukashindwa kabisa kusimama mpaka ikanuma kwani mpenzi wangu alijitahid kila njia kuisimamisha lakin ilishindikana..Baada ya kumaliza aliniomba msamaha na kusema kuwa yeye ndo mwenye makosa ya kusababisha uume uchelewe kusimama na akaniambia kwamba, hapo awali kabla ya kuwa na mim alikuwa na mvulana wake ambae waliapa kwa damu kwamba, endapo mmojawapo akimsaliti mwenzie bas wakati wa kufanya mapenzi wote wawil wasifurahie hlo tendo...huyo boyfriend wake ameeachana nae kama miaka mitatu hiv illiyopt...

maswali yangu ni haya hapa.1..kitendo cha uume wangu kutosimama kwa mda mrefu ni kawaida au sio kawaida..na kama sio kawaida je imetokana na hiko kiapo walichoeka awali...2.hivi kweli jaman haya mambo ya viapo ni kweli yapo?
natanguliza shukrani na ushauri wenu wana jamvi...
 
Tatizo lipo kwako tu, machine umeichosha tu inabidi uipigie tizi mambo yawe sawa.. Kiapo cha damu mambo gani, ndo kuapa kwa nani? Shetani au? maana Mungu hua hatetei ujinga siku zote.. kukutanisha damu kuna ishu gani? mbona watu wanapata ajali damu zinachanganyikana, yani kukutanisha damu A na B iwe na nguvu ya ajabu ndani yake? labda ka waliifanya kwa mganga, haha imani za kijinga, mi huyo binti ningemtosa fasta asije kuniroga siku moja, na mi ntatoa damu yangu hospitalini, atakayewekewa siku akichakachua awe mwekundu.
 
asee ndo unachowaza kla kukcha kwa nn haismam xo? haya ngoja wenzako waje wakusaidie
 
Tatizo lipo kwako tu, machine umeichosha tu inabidi uipigie tizi mambo yawe sawa.. Kiapo cha damu mambo gani, ndo kuapa kwa nani? Shetani au? maana Mungu hua hatetei ujinga siku zote.. kukutanisha damu kuna ishu gani? mbona watu wanapata ajali damu zinachanganyikana, yani kukutanisha damu A na B iwe na nguvu ya ajabu ndani yake? labda ka waliifanya kwa mganga, haha imani za kijinga, mi huyo binti ningemtosa fasta asije kuniroga siku moja, na mi ntatoa damu yangu hospitalini, atakayewekewa siku akichakachua awe mwekundu.

Hahahaaaaaaa hayo mambo ya kuwekeana yamini hapana kabisaaaaa

mapenzi yenyewe ya siku hizi hayana hata guarantee
 
Itakua dude lako lime expire,umeliangalia lina expire lini?au litakua la kichina,mi langu mpaka 2070.
 
kazi kwako
IMG_0051.jpg
 
Tatizo lipo kwako tu, machine umeichosha tu inabidi uipigie tizi mambo yawe sawa.. Kiapo cha damu mambo gani, ndo kuapa kwa nani? Shetani au? maana Mungu hua hatetei ujinga siku zote.. kukutanisha damu kuna ishu gani? mbona watu wanapata ajali damu zinachanganyikana, yani kukutanisha damu A na B iwe na nguvu ya ajabu ndani yake? labda ka waliifanya kwa mganga, haha imani za kijinga, mi huyo binti ningemtosa fasta asije kuniroga siku moja, na mi ntatoa damu yangu hospitalini, atakayewekewa siku akichakachua awe mwekundu.
nmekuelew mkuu ila kuhucu kupga tizi npo vzur napga sana tizi na nina pumzi ya kutosha tu.i hali imentokea kwake tu haikuwah kuntokea hapo awal..siamin hayo mambo ila kutokana na jinc ilvyontokea nmebk njia panda
 
Chagua moja. Kuendelea nae mpaka mwisho ili usimuumize na tatizo liendelee au muachane.
 
Dogo Ashley hiyo inatokana na hofu, kwani galofrendi wako anaumri gani manaake kama kiapo basi ni cha ndoa tu kinacho dumu
 
Ana kama 20 hivi mkuu..inweza kuwa kweli imetokana na hofu.umeongea kitu cha muhimu sana broh kiapo cha ndoa kinaapwa mbele ya nyumba ya ibada na bado watu wanacheat kama kawaida..
 
nmekuelew mkuu ila kuhucu kupga tizi npo vzur napga sana tizi na nina pumzi ya kutosha tu.i hali imentokea kwake tu haikuwah kuntokea hapo awal..siamin hayo mambo ila kutokana na jinc ilvyontokea nmebk njia panda
Kila kitu kina mara ya kwanza.. hakuna mwanaume robot, mwili wa nyama huu, labda ulikua hata na mahtuko flani before mishe, au umetumia kitu flani huezi jua, ila hicho cha kiapo hata, ingekua kuna kauchawi hapo kwa nini ikuaffect wewe, kwani we uliweka kiapo? hiyo si ingemdaka yeye tu, we ungepiga raha zako yeye angebaki hajaridhika.. hadi second round afu unasema kuna kauchawi hapo! hakuna
 
Ingekua twita ninge retweet. Safi.
 
Back
Top Bottom