Dear readers,
For the first time I had an opportunity to fly through KIA early this month. I arrived early at the airport so naturally I decided to quench my thirst at the place where all airports usually have. I got the shock of my life when I arrived there. Here are the pictures and judge for yourself.

Kwenye ubao wa matangazo, its needs a very little money to design a microcontroller based board inakuwa inajiupdate yenyewe! lakini siyo kosa la mwenye restaurent ni uongozi wa kiwanja kuruhusu vitu kama hivyo!
Viti na meza! vinaonyesha hali ya hatari mtu ukikaa unaweza kuanguka muda wowote! hivi ndo vitu watz wenzangu tunahitaji tuviangalie na kuviweka viendane na ushindani wa kiuchumi, kitalii pamoja na hali za kibiashara.