Tenga maji kwenye chungu na mengine kwenye sufuria. Yakichemka kwa wakati mmoja ujue hakuna utofauti katika kusafirisha joto.
Yakipishana ujue joto linachelewa kupita kwenye chungu kwasababu ya material na unene wa kuta zake. Vivyo hivyo hisia za tendo husafiri polepole ndani ya ndomu na kuchelewa kuzihisi kuliko isipotumika.