nachedeulla
Member
- Sep 28, 2018
- 97
- 75
ulizia na somalia huenda kaolewa na alshabaabHabari waungwana kwa yoyote mwenye taarifa za dada yangu khadijah seif miaga, mara ya mwisho kumumuona mwezi wa 6 1995 aliķuwa mwanafunzi wa darasa la 6 mwananyamala kisiwa baadae akahamishiwa mahenge ulanga baadae nikasikia ameendelea na masomo jabarhila morogoro, naamini kupitia hapa naweza kupata taarifa,
NATANGULIZA SHUKRANI
MAENDELEO HAYANA CHAMA!
Ha ha ha sawa mkuu!
Lengo ni kufahamu amkuu bila kujali amesoma wapi!
Nifafanulie maana ya bandiko lako
Ni kupata mawasikiano yake au kujua alipo mkuuNifafanulie maana ya bandiko lako
Huyo niliyem-quote kaona neno Jabalhira ndio maana ya ku coment hivyoLengo ni kufahamu amkuu bila kujali amesoma wapi!
Hapa jamvini kuna watu wana ufikirii mkubwa alipoona jabalhila nadhani akahisi baada ya hapo atakuwa somalia, mwenywe anaweza fafanua!Huyo niliyem-quote kaona neno Jabalhira ndio maana ya ku coment hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu ingia Facebook andoka hilo jina likitokea, mcheki kama ni yeyeHapa jamvini kuna watu wana ufikirii mkubwa alipoona jabalhila nadhani akahisi baada ya hapo atakuwa somalia, mwenywe anaweza fafanua!
facebook nimejaribu sana hilo jina halipo nashukuru pia kwa ushauri mzuri!Embu ingia Facebook andoka hilo jina likitokea, mcheki kama ni yeye
Ha ha ha, muhimu kujua yupo wapi na mawasiliano yake, huyu ni mwanamke lazima sasa atakuwa na mume zaidi hata kama wewe ni mkewe ni mawasiliano yake!dada ako kabisa au unataka kusumbua wake za watu
"Siku hizi wanaume wamekua wambea sana kuliko akina mama"-Mhe makamu wa Rais.
Umbea ni kutoa neno sehemu moja na kulipeleka sehemu husika (maana yake ni ukweli) ila UNAFIKI NDIO SUMU MBAYA!!!"Siku hizi wanaume wamekua wambea sana kuliko akina mama"-Mhe makamu wa Rais.
Sent using Jamii Forums mobile app