Khaaaaa!!Nyie akina mama,hamna watoto?

Khaaaaa!!Nyie akina mama,hamna watoto?

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Kwa wale tunaoishi uswazi nadhani mtakubaliana nami
'
Akina mama na mabint wa Uswazi kwanini hampendi kuogea bafuni?
'
Kwanini mnasubiri ka giza kaingie halafu ndo mnaogea nje?
'
Yaani karibu kila siku nikichelewa kwenye mihangaiko nikikatiza uswazi lazima nikutane na wamama au wadada zaidi ya wa-3 daily wanaogea nje vichochoroni na mabafu yapo
'
Mbona wanaume hawaogi nje?
'
Mnakera bana,najua mpo humu,hebu jirekebisheni!
 
kuoga nje huwa kuna raha yake bana, mi pia napenda sana!!!!!!
nilipokuwa a'level yani bora nipewe adhabu ya kung'oa kisiki ila nimeoga nje.
samahani tu kwakweli kwa kuendelea kukukera.
 
kuoga nje huwa kuna raha yake bana, mi pia napenda sana!!!!!!
nilipokuwa a'level yani bora nipewe adhabu ya kung'oa kisiki ila nimeoga nje.
samahani tu kwakweli kwa kuendelea kukukera.
...na vp kuhusu kujisaidia nje? hiyo tabia hauna?
 
Wanakuwa wanafatiza matakwa ya mganga ya kutooga bafuni kwa ajili ya kusafisha nyota.
 
binafsi kuogea nje ilikuwa zamani nikiwa mdogo unatimuliwa ukaoge usiku unaogopa kwenda bafuni.
 
wanaume kwani wanaoga huko uswazi?....halafu tunaoga nje kuepuka kujaza choo si unajua bajeti ya kunyonha choo imebamba
 
Back
Top Bottom