Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.
Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.
Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichezea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?
Kwani ile kitu inauzwa?
Mwanamke anayejitambua hua haombi pesa kwa mpenzi wake hata siku moja....mwanaume anayejielewa hua hasubiri kuombwa pesa hua anatoa tu kwa kujua wajibu wake!! Wanaume acheni ubahili jamani hebu toeni kwa wale mnaowapenda mbarikiwe lol! Simaanishi uwe unamuhudumia kwa kila kitu wala sio umpe kila siku but where necessary at least once per three month sio mbaya! Sometimes unakuta hana kazi by that time, ukimuona kavaa vizuri anavutia unadhani anapata wapi hela ya kujikeep smart kama wewe hujawahi mpa hata siku moja??
Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.
Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.
Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichezea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?
Kwanini nikupe hela at the first place?B4 ulikua unatoa wapi?Si una wazazi wewe?Au si unakazi?Mwanaume anaejitambua hawezi kutumia hela hovyo namna hii!
vipi kama hana kazi kwa wakati huo? What if wazazi wake hawana uwezo wa kumsuport?hivi vijana wote wa kitanzania hua wanapewa pocket money na wazazi wao?kama una uwezo and where necessary its not bad to support the one you love kwa nia njema kabisa sio kama buzi lol!!
Kama yuko kwao,mahitaji MUHIMU wazazi wake wanayaweza.Kama hana kazi na anajitegemea tht's onother case,but badala ya kuomba hela na kulazimisha ni bora aniombe nimtafutie shughuli ya kufanya!
hapa sasa tunaanza kuelewana na ndo maana nikasema mwanamke anayejitambua hawezi kumuomba pesa mpenzi wake, ila mwanaume anayejielewa atatoa where necessary kulingana na mazingira yaliyopo kwa wakati huo bila kuombwa wala kulazimishwa..
Mkuu Eiyer kumbuka hivi majuzi walikiri hapa kwamba kama mwanaume hana kazi basi huyo ana kasoro............. Bofya hapa ujikumbusheInawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia kuwa rafiki yangu ni mbahili.Mi nikamwambia,sasa unataka akupe hela kwani wewe ni mwanae au mkewe?Yule dada alisonya akanyanyuka kitini na kuniangalia kwa shari kisha akaniambia,"kumbe na wewe ni wale wale",kisha akaondoka.Hivi kwani ni lazima upewe hela?Mtu una kazi,au uko kwa baba na mama yako halafu unataka hela!Za nini?Unaweza kusaidia lakini inapoonekana kuwa unaanzisha mahusiano na mwanamke shida zote anahamishia kwako huo ni ujinga.Tujuane inapotokea dharula sio ndo nakua dingi!!
Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.
Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.
Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichezea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?
kwahiyo nyumba kubwa binti anayemuomba hela kaka au dada ni independent ila akimuomba mwanaume ni dependant au sijaelewa?Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.
Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu.
mdada mwenzangu nyumba kubwa nakupa ma like mia. Roulette .
naomba niseme haya machache sana, . sijawah mimi kuomba hela kwa bf??? hapana hili gumu hadi unakwenda kulalamika kwa mtu baki?? hii ni aibu.
.
gfsonwin hivi mpenzi wako ni mtu baki? Mpenzi unampa nafasi ya ngapi baada ya wewe?
nimekupa like kwasababu hujaelewa mada ma dearest. huyu eiyer aliyekwenda kulalamikiwa ni mtu baki manake demu ni wa mshkaji wake na eiyer na mimi namshangaa binti kwenda kulalamika kwa mtu ambaye wakiwa wanapeana raha wala hata hashirikishwi ila wakati akikosa kupewa hela ndo anamfuata kulalamika.