Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,330
- 966
Nilipokuwa nasoma O-level kule Njoss tulikuwa na tabia ya kumcheka yeyote aliyekosea kutamka neno na tulikuwa tunasema AMECHOMA. Nikiwa kidato cha tatu mwl wangu wa darasa aliingia darasan asbh na kuanza kutoa adhabu kwa wale wasiofanya usafi,. Mwalim akauliza,nani hajasafisha MADIRISAA?(akimaanisha madirisha),2kaanza kucheka,tcha akasema jaman samahani ulimi hauna MSHUPA(akimaanisha mfupa)..hapo ndo aliharibu zaidi maana darasa zima kelele tupu mwl umechomaaaa.