Khaaa mwl alituvunja mbavu!.

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Nilipokuwa nasoma O-level kule Njoss tulikuwa na tabia ya kumcheka yeyote aliyekosea kutamka neno na tulikuwa tunasema AMECHOMA. Nikiwa kidato cha tatu mwl wangu wa darasa aliingia darasan asbh na kuanza kutoa adhabu kwa wale wasiofanya usafi,. Mwalim akauliza,nani hajasafisha MADIRISAA?(akimaanisha madirisha),2kaanza kucheka,tcha akasema jaman samahani ulimi hauna MSHUPA(akimaanisha mfupa)..hapo ndo aliharibu zaidi maana darasa zima kelele tupu mwl umechomaaaa.

hahaaa! Kwl apo kachoma! Nakumbuka ckul cku 2lkuwa twacheza mech sasa mpira ulipigwa kros kat jamaa kalelema kaukosa tcha nje akasema kwa sauti wewe rusha miju guu bwana. Akimaanisha "miguu juu"

kwakwakwa huwa watu wanaochapia wanamazoea ya kula mlenda sana na bamia

HIYO kali basi tukiwa chuo kuna jamaa yangu mmja alikuwa anapenda sana kudakia mada basi kuna dictionery yangu ilipotea kumbe yeye aliiba wakati nauliza nani kachukua kitabu changu cha bios nikawa nafunga basi kadakia MIMI SIJAONA NA WALA SIJACHUKUA "DINAKSHARI" ya mtu

Nilipokuwa nasoma O-level kule Njoss 2likuwa na tabia ya kumcheka yeyote aliyekosea kutamka neno na 2likuwa 2nasema AMECHOMA. Nikiwa 4m3 mwl wangu wa darasa aliingia darasan asbh na kuanza kutoa adhabu kwa wale wasiofanya usafi,. Mwalim akauliza,nani hajasafisha MADIRISAA?(akimaanisha madirisha),2kaanza kucheka,tcha akasema jaman samahani ulimi hauna MSHUPA(akimaanisha mfupa)..hapo ndo aliharibu zaidi maana darasa zima kelele 2pu mwl umechomaaaa.

Nafikiri wewe ndio unachoma zaidi. Hizo namba mbili (2) nne (4) ulizoziweka tuzisomaje? Tusome mbili-likuwa, mbili-nasema. Au unataka tuzisome tarakimu kwa ki-english halafu herufi kwa kibongo? Kama ndivyo hapa iweje 4m3? four-m-three? Kaaazi kwelikweli! Unaweza kujaribu kuonesha kuchoma kwa Mwalimu wako bila kujua kuwa wewe ndiwe mwenye kuchoma zaidi!

thank you!

<br / hvi ki-english napo tukueleweje?,dah hapo nawe umechoma lkn nashukuru pia kwa mtazamo wako,hvi ni kweli hujaelewa au ulitaka kutuonyesha kuwa wewe ni much know?.

Nilipokuwa nasoma O-level kule Njoss 2likuwa na tabia ya kumcheka yeyote aliyekosea kutamka neno na 2likuwa 2nasema AMECHOMA. Nikiwa 4m3 mwl wangu wa darasa aliingia darasan asbh na kuanza kutoa adhabu kwa wale wasiofanya usafi,. Mwalim akauliza,nani hajasafisha MADIRISAA?(akimaanisha madirisha),2kaanza kucheka,tcha akasema jaman samahani ulimi hauna MSHUPA(akimaanisha mfupa)..hapo ndo aliharibu zaidi maana darasa zima kelele 2pu mwl umechomaaaa.

uchafuzi wa Lugha. Hizo 2, 4 ,na 3 tuzisomeje? Hili ni jukwaa la wasomi.

Umenikumbusha mwl wangu wa o level, alikuwa mbovu wa English, siku moja alisema "the rubbish who under the tree"
siku nyingine alisema " when you here your name shout" akimaanisha kuwa ukisikia jina lako itikia. Siku nyingine alisema "i remembering you" akimaanisha nakukumbushia.
Ilikuwa full vichekesho

ha haaa haaa.................ningekua m ndo mwalimu yaani nigetembeza bakora darasa zima afu na adhabu juu hamna adabu

uchafuzi wa Lugha. Hizo 2, 4 ,na 3 tuzisomeje? Hili ni jukwaa la wasomi.

<br / mzee asante lkn unaacha kusoma kama hazisomeki,.unajua kwanin wanapenda kuandika hvyo?

Nafikiri wewe ndio unachoma zaidi. Hizo namba mbili (2) nne (4) ulizoziweka tuzisomaje? Tusome mbili-likuwa, mbili-nasema. Au unataka tuzisome tarakimu kwa ki-english halafu herufi kwa kibongo? Kama ndivyo hapa iweje 4m3? four-m-three? Kaaazi kwelikweli! Unaweza kujaribu kuonesha kuchoma kwa Mwalimu wako bila kujua kuwa wewe ndiwe mwenye kuchoma zaidi!

Kweli kabisa Mkuu Sumuni. Hawa ndio wachafuzi wa lugha. Jamaa kachoma yeye na mwalimu wake. Teh teh teh.

Back
Top Bottom