Keys window 7 professional

Keys window 7 professional

mayayasilas

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
43
Reaction score
5
Jamani naomba msaada wa activation keys za window 7 professional... Windows yangu imeandika haipo genuine na kwa yeyote anayejua njia zaid ya moja ya kuirudisha to normal anisaidie..
 
Jamani naomba msaada wa activation keys za window 7 professional... Windows yangu imeandika haipo genuine na kwa yeyote anayejua njia zaid ya moja ya kuirudisha to normal anisaidie..

Tumia JF search box hapo juu kulia andika
>> Windows 7 loader by DAZ
>> AU "RemoveWAT v2.2"

Karibu
 
Tumia JF search box hapo juu kulia andika
>> Windows 7 loader by DAZ
>> AU "RemoveWAT v2.2"

Karibu

nadani anahiitaji msaada wakufanyiwa maana nimempa windows loader na hatua zakufanya but karudi tena kivingine
 
Basi itabidi tumpe link ya windows 7 Pre Activated , ili asipate taabu katika activation.

tatizo lake lipo kwenye kuextract so hata umuwekee link ya pre activated bado ujamsaidia pia mambo ya bundle yanahitajika hapo maana ni 3GB kwa 64 bit. Mpandishie video capture afanye. Activation maana me sipo na PC
 
Jamani naomba msaada wa activation keys za window 7 professional... Windows yangu imeandika haipo genuine na kwa yeyote anayejua njia zaid ya moja ya kuirudisha to normal anisaidie..

Nunua aisee dola 200 tu. Hata pale mliman city unapata
 
Nitashukuru sana maana naona giza tu hapa...kla.nikijaribu..

Mkuu kama unashindwa kutumia tools simple.kuactivate windows yako ukipewa hiyo reactivated mlolongo wake si.ndio utachanganyikiwa zaidi
tafuta hiyo link ulioambiwa na mdau hapo juu ipitie utaelewa...very simple
 
Back
Top Bottom