Hi Guys,
Niniweza kupata fundi Mzuri wa laptop as in hizi electronics mara nyingi ukipeleka kwa mafundi kanjanja ndio unakua mwisho wake.
Baadhi ya burtons kwenye laptop hazifanyi kazi na zimetokea zipo katika eneo moja so nahisi itakuwa ni hardware issue.
thanks
Mlachake