Lepapalongo Member Joined Jan 28, 2009 Posts 92 Reaction score 11 Nov 30, 2014 #1 Wadau naomba anayeweza nisaidia upatikanaji wa keypad ya Simu Nokia E6 inanisumbua D-pad imeharibika so nimebandika na glue lakini hakuna msaada. Nawasilisha!!! Attachments 1417332001542.jpg 103.7 KB · Views: 87
Wadau naomba anayeweza nisaidia upatikanaji wa keypad ya Simu Nokia E6 inanisumbua D-pad imeharibika so nimebandika na glue lakini hakuna msaada. Nawasilisha!!!