Adolph JF-Expert Member Joined Sep 26, 2010 Posts 895 Reaction score 346 Oct 29, 2014 #1 Wakuu wapi ntapata keyboard used au mpya ya laptop tajwa.asanteni
Heri lee JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 981 Reaction score 538 Oct 30, 2014 #2 Ninayo kaka, kama upo dar ni-pm.
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,764 Oct 30, 2014 #3 hizi laptop keyboard na speaker ni janga lake kubwa + over heating
Madiba JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 426 Reaction score 253 Oct 30, 2014 #4 elmagnifico said: hizi laptop keyboard na speaker ni janga lake kubwa + over heating Click to expand... Mimi nanayo toka 2012 January inapiga mzigo hadi sasa bila tatizo lolote, nilinunua brand new Megji hapa Dar!
elmagnifico said: hizi laptop keyboard na speaker ni janga lake kubwa + over heating Click to expand... Mimi nanayo toka 2012 January inapiga mzigo hadi sasa bila tatizo lolote, nilinunua brand new Megji hapa Dar!
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,764 Oct 30, 2014 #5 Madiba said: Mimi nanayo toka 2012 January inapiga mzigo hadi sasa bila tatizo lolote, nilinunua brand new Megji hapa Dar! Click to expand... Bahati yako lakini keyboard na speaker ndo matatizo ya majority
Madiba said: Mimi nanayo toka 2012 January inapiga mzigo hadi sasa bila tatizo lolote, nilinunua brand new Megji hapa Dar! Click to expand... Bahati yako lakini keyboard na speaker ndo matatizo ya majority