C Class 1 Senior Member Joined Jan 21, 2022 Posts 121 Reaction score 447 Feb 6, 2022 #1 Waheshimiwa kwema, Nina tatizo la Keyboard na mouse, havifanyi kazi kwenye window 10, ila ukizima ukiwasha pale kwenye F2 inafanya kazi, tatizo ni ikaliza kuwaka ndo hapo haifanyi kazi kabisa. Msaada tafadhali.
Waheshimiwa kwema, Nina tatizo la Keyboard na mouse, havifanyi kazi kwenye window 10, ila ukizima ukiwasha pale kwenye F2 inafanya kazi, tatizo ni ikaliza kuwaka ndo hapo haifanyi kazi kabisa. Msaada tafadhali.
J JBourne59 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 952 Reaction score 8,875 Feb 6, 2022 #2 Ni keyboard ya mtindo upi? Usb Wireless Ps2 ?