Key point “some women” not all

natamani niwashauri madogo waoe single mummy hawa ni wake wazuri zaidi
  • kwanza wengi ni waoga na wametoa mimba chache
  • wakijengewa mazingira ya kupendwa na kuaminiwa ni waaminifu sana
  • wanaadabu
  • wanaona sadaka ya mwanaume kujitoa kwa kuwaoa wao
Sawa.....
 
Ni kweli kabisa nadhani kumwambia mtoto wa kike asifanye mapenzi kabla ya ndoa kuambatanishwe na sababu ataona umuhimu zaidi
Mimi pia nina Imani kama hii yako
 
Duh pole sana mimi pia nisingependa mwanangu wa kiume aoe single mama
 
Ni kweli kabisa nadhani kumwambia mtoto wa kike asifanye mapenzi kabla ya ndoa kuambatanishwe na sababu ataona umuhimu zaidi
Mimi pia nina Imani kama hii yako
Mabinti wa siku hizi hatuwezi kuelewa kabisa
Hii n moja ya madhara ya kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa
Nyota ya mafanikio ya mumeo hupotea
Unaenda kwa mumeo ukiwa tayari umeuza nyota kwa mtu mwingine wa nje
 
Kweli kabisa unaenda kwa mume ukiwa umebeba uchafu wa nyuma na hii ni moja ya sababu kuu kwanini ndoa za sasa hazidumu kama za zamani
Uzinzi kabla ya ndoa bila kuomba toba na rehema kwa wanandoa wote wawili ndoa inakuwa ngumu
 
Kuna maagano unafanya,,,,
Unakuwa upo kwenye maagano Na Watu wengi.
Inahitaji gharama Sana kuyavunja
Lakini neema ya Mungu Ni kuu mno

Turudi Kwenye mada[emoji3526],apatae mke apata kibali kwa Bwana
 
do
teh..teh...tehh....
Do! hapa ulishikwa sio bureeeee! pole hapa tunazungumzia mwenye mtoto mmoja au wawili sasa watatu ulishaoa mke wa mtu!
 
mwanaume atakaechukua ushauri huu ndio amejichinja. success ipo kwako wewe mwanaume mwenyewe. mwanamke ni wakugegeda tuu

[emoji28][emoji28][emoji28]mzabzab long time
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…