Key & Peele

Huyu jamaa anawabagu wadhungu, masikini like kidada kilitaka kumrukia kikatahayari nimejisikia noma noma
 
Ila huyu kapitiliza waziwazi na mna hii!Mdada wa watu kajianda kumhagi kampangusa hadi madada naona alitamani aridhi ipasuke atumbukie!

Hahaha me naona akichomfanyia mtoto mzungu sio vizuri, hajamsifia ata wakati mwenzake kamkiss....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…