Key & Peele

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676
[video=youtube_share;nopWOC4SRm4]http://youtu.be/nopWOC4SRm4[/video]
 
Morning shemeji...naomba bando na mimi niangalie khaa kila siku mwaangalia wenyewe tu...
 
Mama upo....!!!!? Nimekuwa nikikutafuta takribani week sasa. Mzima lakini?

Daaah we mwanaume ndio nini kupotea hivyo? Hivi ungekuta nimechukuliwa ungenilaumu kweli? Yan nimenuna hadi unipe zawadi na uniambie hiyo wiki nzima ulikuwa unantafutia wapi...
 
Nimekuwa nikikutafuta hapa hapa mtaani kwetu. Hata usinihukum mimi, hadi uzito umepungua kwa kukumiss....!? Basi mama usiendelee kununa usijenitia huzuni buleeee. Zawadi utapata mama, we sema aina gani ya zawadi unapendelea.
 
Waijua zawadi nnayopenda sina hata haja ya kukuambia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…