ππππHaji manara anasema alichezea Yanga Kids
Manara atakuwowa weeπ€£π€£Sio kwa ubaya huwa najiuliza sana kuhusu De bruyne mbna ni mweupe sana kuliko wazungu wenzie, ila sijawahi waza km ni Albino.
Trump nae vipi? ππππ
Kama ni huyu basi mleta mada hawajui maalbino
Wajinga sasa mnacheka cheka nn tena mnafurahi kabisaUbaguzi uko wapi hapo
Nitamuoa yeye kwani. LolManara atakuwowa weeπ€£π€£
Macho yao yanakuaje?Huyu jamaa sio Albino, nimesoma na watu.wenye albinism toka primary hadi chuo, naweza kusema kitu cha kwanza kinachokufanya umjue albino mbali na ngozi ni macho yao.
Albino hata awe mzungu macho yao hayadanganyi lazima utamjua tu.
Yule ni mweupe ila ndevu na nywele anapaka rangiKuna yule mcheza mieleka anaitwa Sheamus ule weupe wake sijawahi uelewa .Uko tofauti na wa wazungu wa kawaida
Naye bila shaka atakuwa albino
Akili zakoNitamuoa yeye kwani. Lol
πππππ
Km zako, ππππAkili zako