Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
1. Ndiye anayeungwa mkono na Waliberali asilimia 67 kwa kuwa siasa zake ni za mrengo wa kati ilihali 33% wameonesha waziwazi kuwa na siasa za Uhafidhina
2. Kete ya Obama kwa Hillary inazidi kung’aa baada ya Trump kuingia mkenge kutokana na uwiano wa madoa baina ya wawili hao, licha ya Hillary kuwa na kimeo cha Bengazi Trump anaonekana kuwa na ‘vimeo vingi Zaidi na hili ndio kete kubwa sana kwa Obama ikiwa ni pamoja na madai yake ya kutokubaliana na uislamu na walatino walio wengi na kusema ‘akiwa Raisi atajenga ukuta dhidi yao’ What We Fear from Donald Trump, We Have Already Seen from Hillary Clinton
3. Mashirika karibu yote ya Kijasusi ikiwemo FBI na CIA wamekataa katu kumpa ushirikiano Trump
4. Mabwanyenye wote wa Kimarekani wakiwemo akina Rockfellers na Cox wanaonekana kumuunga mkono Hillary. Hapa pia ukumbuke Bernie Sanders ameonesha msimamo wake kumuunga mkono Hillary JAPO ATAENDELEA NA KAMPENI ZAKE
5. Kitendo cha TRUMP kumdhalilisha Hillary kwamba akiwa hedhi atashindwa kubeba majukumu kinaonekana kuwa shubiri ya ushindi kwa TRUMP kwa sababu imekua ni chukizo la uharibifu kwa wanawake walio wengi kwenye sanduku la kura (Donald Trump 'period knickers' are a hit with American women), japo kwa sasa anaonekana kujirudi akisema Hillary ameolewa na mwanaume mkware kwa wanawake akirejeza kashfa za ngono zilizomkabili mumewe enzi za kiti chake (Hillary's Married to 'the Worst Abuser of Women in the History of Politics'
6. Taifa la Marekani limejitengenezea mazingira ya kuwa Taifa la Historia duniani, kwa hapa hakuna shaka kwamba lingependa kuandika historia nyingine ...Hapa Ikumbukwe kwamba 36% ya wapiga kura wanawawake wanaiunga mkono Democrats ukilinganisha na 20% ya wanaume kwa mujibu ya TWAWEZA YA HUKO kadhalika asilimia iliyobaki ya vijana wameshajipambanua mahaba yao kwa Bi Clinton……………. "Historic Moment for Women" soma pia Makala ya ‘Could women hand Hillary Clinton the U.S. presidency?
7.