technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
Na wajinga wanaamka kweli kweli!Tumeshastukia huo mchezo na tunawaamsha waliolala. Jana Lema kaleta huo upuuzi wa Nchimbi aondoke ccm na kujiunga cdm, amepewa ukweli wake ana akaambiwa asitegemee ule upuuzi wa kumpokea Lowassa utakubalika safari hii. Ni hivi, hakuna mwanaccm atapata promo tena kama mtetezi wa wananchi. Wajinga tunaenda kuwaamsha.
Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa
Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea.
Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi.
Sasa wanatengeneza Jambo ambao litakuja kuwa Kama lile la......
1:Kikwete atishia kujiunga chadema Kama atakatwa 2005.
2:Magufuli ataka kujiuzulu kama wazuri wa ujenzi
3:Samia ataka kujiuzulu kama makamo wa rais azuiwa na Kikwete.
4: Mwinyi ajiuzulu Kama waziri wa mambo ya ndani.
Hawa wote badae walikuja kuwa Marais na wakaendeleza mfumo ule ule wa CCM pengine wengine kuwa makatili zaidi.
Huyu NCHIMBI anaandaliwa kwa usitadi mkubwa kuja kuwa rais aliyechaguliwa na watanzania wajinga.
Duuh,HAKUNA CHA KETE HAPO, CCM NI WAJINGA NA WAPUUZI SANA HAPO WAMESHAANZA VITA YA 2030.
HAPO KUNA :
NCHIMBI
MWIGULU
WAZIRI MKWE MCHENGERWA
MAKONDA NA YEYE YUMOOO
hii vita ni ya kufa mtu tuagize tu popcorn za kutosha
Sie wengine na TAL!Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa
Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea.
Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi.
Sasa wanatengeneza Jambo ambao litakuja kuwa Kama lile la......
1:Kikwete atishia kujiunga chadema Kama atakatwa 2005.
2:Magufuli ataka kujiuzulu kama wazuri wa ujenzi
3:Samia ataka kujiuzulu kama makamo wa rais azuiwa na Kikwete.
4: Mwinyi ajiuzulu Kama waziri wa mambo ya ndani.
Hawa wote badae walikuja kuwa Marais na wakaendeleza mfumo ule ule wa CCM pengine wengine kuwa makatili zaidi.
Huyu NCHIMBI anaandaliwa kwa usitadi mkubwa kuja kuwa rais aliyechaguliwa na watanzania wajinga.
🍿🍿🍿🍿🔥HAKUNA CHA KETE HAPO, CCM NI WAJINGA NA WAPUUZI SANA HAPO WAMESHAANZA VITA YA 2030.
HAPO KUNA :
NCHIMBI
MWIGULU
WAZIRI MKWE MCHENGERWA
MAKONDA NA YEYE YUMOOO
hii vita ni ya kufa mtu tuagize tu popcorn za kutosha
nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn🍿🍿🍿🍿🔥