Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,284
Maneno hayo amesema akichangia hotuba ya wizara ya nishati na madini, pia amempongeza Muhongo kwa kuteuliwa kuwa waziri wa nishati na madini na kumtaka apuuze majungu ya Mnyika na wapinzani kwa ujumla.
#NishatNaMadini