Haya ya kuwaumiza wananchi ndio wabunge wa ccm wanayaweza, kwao kutetea mslahi yao ndio kitu kimewapeleka bungeni, walipinga sana wao wasikatwe kodi, leo wanasema mama ntilie alipe kodi, halafu ndio wanajitanabaisha wapo bungeni kwa maslahi ya wananchi wao. CCM kweli ina laana fulani kwa watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.