Kesi za kina Masamaki zinaweza zikayeyuka kama ile ya Samaki wa Magufuli

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,489
Maofisa waliotimuliwa na kufunguliwa kesi toka TRA na TPA kama kina Masamaki na wenzake naziona dalili za mwanzo za kuyeyuka kwa kesi hizo.
 
Unaota nini? Kwa nini huamini hvyo?
Kwa sababu wao si wa kwanza mdau,na usishangae kesi ikachukua hata miaka 10.Kumbuka mpaka mahakama ithibitishe PASINA SHAKA ndo wahukumiwe,any way tusubiri,ila uzoef unaonesha nchi yetu watu hufikishwa kisutu kwa mbwembwe sana na mwishowe inabak kuwa aibu,kihunz cha kwanza washavuka ambacho ni dhamana,so usishangae wakaambiwa walipe gharama za fidia ya hasara ambayo govt imepoteza wakalipa yakaisha au ikaonekana hawahusik
 
Mbona walijidhamini wenyewe kwa kupeleka mahakamani hati za nyumba zao,na nyumba zilipatikana kwa njia ya wizi.
 
Mkuu tiagi masamki anakula samaki na mrija wake haaah
Now yupo kitaa na jambo hilo lishasahaulika,walifikishwa Mramba na Yona bhana kwa status ya Mawaziri wa Zamani iwe hao akina MASAMAKEY,
Na kwa hasara ile wamefungwa miaka mitatu tu na mwakan wanatoka
 
Maofisa waliotimuliwa na kufunguliwa kesi toka TRA na TPA kama kina Masamaki na wenzake naziona dalili za mwanzo za kuyeyuka kwa kesi hizo.
hiii ni shida,...wamesimamishwa kazi bado wanakula mshahara wa serikali,..uchunguzi unaendelea wakati walikamatwa na ushahidi wa wizi na kupitisha wizi wa ukwepaji kodi na police waliwakata majumbani kwaoo na matrilioni ya fedha,...ndo tujue hapa ni buree hamna mpya yoyotee ni danganya toto2 mkuuu,.....wangekuwa wananguvu wangefanya hukumu2 tit4tat c ushahidi upo,...mimi ndomana hata JPM Naona longolongo2 sina imani nae 100%,...anawazuga2 raia
 
Mkoroshokigolini post: 15080145 said:
Now yupo kitaa na jambo hilo lishasahaulika,walifikishwa Mramba na Yona bhana kwa status ya Mawaziri wa Zamani iwe hao akina MASAMAKEY,
Na kwa hasara ile wamefungwa miaka mitatu tu na mwakan wanatoka
Wamekurupuka masamaki ana makubwa zaidi bora wapotezee tu
 
Maofisa waliotimuliwa na kufunguliwa kesi toka TRA na TPA kama kina Masamaki na wenzake naziona dalili za mwanzo za kuyeyuka kwa kesi hizo.
hiii ni shida,...wamesimamishwa kazi bado wanakula mshahara wa serikali,..uchunguzi unaendelea wakati walikamatwa na ushahidi wa wizi na kupitisha wizi wa ukwepaji kodi na police waliwakata majumbani kwaoo na matrilioni ya fedha,...ndo tujue hapa ni buree hamna mpya yoyotee ni danganya toto2 mkuuu,.....wangekuwa wananguvu wangefanya hukumu2 tit4tat c ushahidi upo,...mimi ndomana hata JPM Naona longolongo2 sina imani nae 100%,...anawazuga2 raia
 
hiii ni shida,...wamesimamishwa kazi bado wanakula mshahara wa serikali,..uchunguzi unaendelea wakati walikatwa na ushahidi wa wizi ,...ndo tujue hapa ni buree hamna mpya yoyotee ni danganya toto2 mkuuu,.....wangekuwa wananguvu wangefanya hukumu2,...mimi ndomana hata JPM Naona longolongo2 sina imani nae 100%,...anawazuga2 raia
Ni kweli now wanalipwa nusu salary,mnaikumbuka kesi za Zombeh mwisho ilidhihirisha kuwa hakuua.
Tuliache lipo mahakaman
 
hiii ni shida,...wamesimamishwa kazi bado wanakula mshahara wa serikali,..uchunguzi unaendelea wakati walikamatwa na ushahidi wa wizi na kupitisha wizi wa ukwepaji kodi na police waliwakata majumbani kwaoo na matrilioni ya fedha,...ndo tujue hapa ni buree hamna mpya yoyotee ni danganya toto2 mkuuu,.....wangekuwa wananguvu wangefanya hukumu2 tit4tat c ushahidi upo,...mimi ndomana hata JPM Naona longolongo2 sina imani nae 100%,...anawazuga2 raia

huu mhimili wa mahakama ni jipu pia.
 
nimesikia wataachiwa na kukamatwa upya na kusomewa kesi upya kabisa wakiwa chini ya takukuru; zile kesi siz a polisi zinahitaji uchunguzi mrefu sana na mkubwa; nadhani JPM hakuzipeleka takukuru sababu hakuwa na imani na Hosea; Sasa ameshamtoa atazipeleka zinapostahili;
 
Masamaki na Habib wako mtaani wanakula raha tu....wana pesa za kutosha kuendesha kesi ....watatoa rushwa sana.
Serikali ingejielewa wangewafilisi lkn hakuna lolote!
 
Back
Top Bottom