Kesi ya wavamizi waliotumwa na Lipumba imefikia wapi!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Wote tulishuhudia jinsi waandishi na viongozi wa CUF walivyovamiwa na kupewa kichapo wakiwa wanafanya press!
Kambaya alikiri kuwatambua na yeye na lipumba waliwatuma wavamizi hao kuimarisha ulinzi wa chama!

Mmoja wa wavamizi alikamatwa na kupigwa na wananchi wenye hasira na yeye kukiri kutumwa na Lipumba!

Tukasikia Kambaya kaitwa kwa mahojiano,ikaishia hapo mpaka leo kimya!Majuzi kambaya kaibukia Mahakamani na baadhi ya wavamizi walewale walioshambulia waandishi na wana Cuf!
Wakaibuka mahakamani kwenye kesi ambayo kimsingi haikuwa inawahusu hata hao kina kambaya kwani ilikuwa ni kesi ya wabuge 8 waliofukuzwa,lakini Kambaya akaleta ubabe mahakamani na kutaka kupigana akiwa na kundi la vijana!

Nauliza,hii kesi imefika wapi?Mbona hawa majambazi wamechwa mtaani???
Mwenye taarifa na shauri hilo atuwekee hapa!
 
Uchunguzi utakuwa haujakamilika
 
Back
Top Bottom