Kesi ya uchaguzi wa Rais Malawi iko hewani

Kesi ya uchaguzi wa Rais Malawi iko hewani

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,599
Reaction score
30,203
Kesi inayohusu uchaguzi wa Rais nchini Malawi iko hewani AZAM TV channel 0381 TIMES TV, kesi hii ni funzo kwa wanasheria, tume ya uchaguzi na wanasiasa wa Tanzania, siyo ya kukosa kuangalia, Paskal Mayala na wenzako habari ni hiyo.
 
Kama yanayofanyika hapa kukimbia na masanduku ya kura, kutotumia karatasi halisi kisheria na kubadili matokeo halisi ndicho na huko kilifanyika!
 
Mods naomba Post isomeke HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI WA RAIS MALAWI IKO HEWANI.
 
Back
Top Bottom