Kesi ya Uchaguzi: Lembeni na Kishimba waagizwa kuleta mashahidi

HPLC

Senior Member
Jul 29, 2015
186
133
kaha.jpg

Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25 mwezi wa kumi mwaka jana iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Kahama mjini Bw.James Lembeli dhidi ya mgombea wa CCM Mh.Jumanne Kishimba imeendelea leo katika mahakama ya wilaya ya Kahama.

Kesi hiyo amnbayo iliendelea kuunguruma leo majira ya saa tano kamili huku wananchi waliofika mahakamani hapo kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo wakiilalamikia mahakama kutoweka vipaza sauti hali inayosababisha idadi kubwa ya wananchi waliofika kusikiliza kesi hiyo kushindwa kuelewa nini kinaendelea.

Aidha baada ya jaji Moses Mzuna kusikiliza hoja za kila upande na kuridhika na maelezo aliagiza pande zote mbili kuleta mashahidi wao ili waanze kutoa ushahidi na kuahirisha kesi hadi kesho siku ya jumatano tar.02/03 ambapo kesi itaendelea.
 
Asante sana mkuu, kwa hiyo keaho utakuwepo mahakamani? Basi wahi mapema ukae viti vya mbele kabisa, sikiliza vizuri ili updates zako zikae sawasawa. Nina mashaka makubwa endapo vipaza sauti havitafungwa hapo kesho huenda mambo yakawa hivihivi. Kila la heri mkuu
 
kama ilivyo kwa umeya kahama/shyng ni ngumu kuwapa wapinzani.
ila jamaa huyo lembeli alishindwa,
 
Arudi tu Bungeni wakasaidiane na wakina bulaya na wengine maana hakuna namna nyingne, kila lakheri mzee wetu Lembeli
 
kaha.jpg

Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25 mwezi wa kumi mwaka jana iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Kahama mjini Bw.James Lembeli dhidi ya mgombea wa CCM Mh.Jumanne Kishimba imeendelea leo katika mahakama ya wilaya ya Kahama.

Kesi hiyo amnbayo iliendelea kuunguruma leo majira ya saa tano kamili huku wananchi waliofika mahakamani hapo kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo wakiilalamikia mahakama kutoweka vipaza sauti hali inayosababisha idadi kubwa ya wananchi waliofika kusikiliza kesi hiyo kushindwa kuelewa nini kinaendelea.

Aidha baada ya jaji Moses Mzuna kusikiliza hoja za kila upande na kuridhika na maelezo aliagiza pande zote mbili kuleta mashahidi wao ili waanze kutoa ushahidi na kuahirisha kesi hadi kesho siku ya jumatano tar.02/03 ambapo kesi itaendelea.
Mahakama gani ina vipaza sauti?
Kelele ni kosa mahakamani
 
Lembeli na Kafulila wakirudi bungeni naacha kabisa kufatilia siasa...!
 
Mbona hujaonyesha weupe wa hiyo njia wakati giza la shelui na kona za sekenke zipo palepale?
 
Asante sana mkuu, kwa hiyo keaho utakuwepo mahakamani? Basi wahi mapema ukae viti vya mbele kabisa, sikiliza vizuri ili updates zako zikae sawasawa. Nina mashaka makubwa endapo vipaza sauti havitafungwa hapo kesho huenda mambo yakawa hivihivi. Kila la heri mkuu
Hivi mabula na wenje walimalizanaje?
 
Back
Top Bottom