kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya uwaziri katika kufanya kampeni kwa chama chake (CCM), cha kushangaza akuweza kutokeza mahakamani na maelezo yaliyotolewa ni kwamba ana ED ya mwezi mzima hivyo hawezi kufika hadi hapo ED itakapokwisha. Uamuzi wa JAJI amewapa CCM masaa 48 tangu jana Magufuri awe amefika kutoa maelezo yake ya utetezi wasipofanya hivyo ndiyo itakuwa mwisho na tarehe ya Hukumu itapangwa.
My Take
Hii si inaonyesha Dharau kwa mahakama? kama ana ED mbona Bungeni anahudhuria, kwa mnao jua sheria kwa mtu kama huyu anayedharau mahakama huwa anachukuliwa hatua gani?
Hiyo ED ya mwezi mzima ya nini? Ana Ujauzito?kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya uwaziri katika kufanya kampeni kwa chama chake (CCM), cha kushangaza akuweza kutokeza mahakamani na maelezo yaliyotolewa ni kwamba ana ED ya mwezi mzima hivyo hawezi kufika hadi hapo ED itakapokwisha. Uamuzi wa JAJI amewapa CCM masaa 48 tangu jana Magufuri awe amefika kutoa maelezo yake ya utetezi wasipofanya hivyo ndiyo itakuwa mwisho na tarehe ya Hukumu itapangwa.
My Take
Hii si inaonyesha Dharau kwa mahakama? kama ana ED mbona Bungeni anahudhuria, kwa mnao jua sheria kwa mtu kama huyu anayedharau mahakama huwa anachukuliwa hatua gani?
duuuuuu!!!hiyo ed ya mwezi mzima ya nini? Ana ujauzito?
Alitakiwa apelekwe Central Police alazwe rumande, kisha apelekwe Mahakamani kwa ndege ya jeshi akiwa under Escort ya kundi la maaskari. Si ndio utaratibu? Au...

Magufuli alimharibia sana Kafumu. Suala la kurudiwa uchaguzi Igunga haliepukiki, na hapo ndipo CCM watakiona cha moto.
Hiyo ED ya mwezi mzima ya nini? Ana Ujauzito?
Hiyo ED ya mwezi mzima ya nini? Ana Ujauzito?
kesi ya Uchaguzi Iliendelea jana (23.07.2012) katika mahakama ya Nzega, hatua iliyofikia ilikuwa ni Mh. J.P.Magufuri kujakutoa maelezo ya utetezi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kutumia nafasi ya uwaziri katika kufanya kampeni kwa chama chake (CCM), cha kushangaza akuweza kutokeza mahakamani na maelezo yaliyotolewa ni kwamba ana ED ya mwezi mzima hivyo hawezi kufika hadi hapo ED itakapokwisha. Uamuzi wa JAJI amewapa CCM masaa 48 tangu jana Magufuri awe amefika kutoa maelezo yake ya utetezi wasipofanya hivyo ndiyo itakuwa mwisho na tarehe ya Hukumu itapangwa.
My Take
Hii si inaonyesha Dharau kwa mahakama? kama ana ED mbona Bungeni anahudhuria, kwa mnao jua sheria kwa mtu kama huyu anayedharau mahakama huwa anachukuliwa hatua gani?
nawe utakuwa na ujauzito..kichef chef kimekuanza pia?ana kichefuchefu..... Kudadadeki....... Niwalambe nisiwalambe..........