Kesi ya Tundu Lissu live toka Singida

Kesi ya Tundu Lissu live toka Singida

Isango. Inamaana LISSU anajiwakilisha mwenyewe kwenye hii kesi?
 
Ningekuwa mimi ndiye jaji, ningejitoa kusikiliza kesi ya kijinga kama hii
 
angalieni huyo wakili asije akatokomea moja kwa moja...............kesi nyingine sio za kuzikurupukia
 
Ukishazoea kuchakachua, utataka kuchakachua hata jambo lisilochakachulika.
 
JAJI: Ulipewa dk 30 umejipatia nyingi kwanini?
WAKILI WASONGA: Nilienda hotelini nikakuta wafanyakazi wapo mbali mpaka nilipokuja kuomba funguo kkimbilia katika chumba ninachokaa nikawa nimechelewa kidogo. Nisamehe:
JAJI: Amri za mahakama ziwe zinaheshimiwa;
SASA JIBU HOJA ZILIZOTOLEWA;
Mheshimiwa Hoja ya Tundu Lissu ilijikita katika fungu 67, nimesoma kuwa 34 (c), nimerudi kuwaomba mawakili waangalie tena. Ukitaka kuthibitisha unathibitishaje?
Inataka hauwezi kuvalidate document bila kuwa na witness. Mimi nilikuwa na Witness Mr. Kasangani, wakili ametolea ufafanuzi mwingi kisheria, lakini mwishoni ameomba kuwa document yao ipokelewe mahakamani na iwe sehemu ya ushahidi..........
LISSU: Mhesh. Jaji, amekualika uangalie kifungu 34 (c). Mimi sitaki kuamini kuwa Wasonga kuwa hajui sheria za nchi hii, lakini kifungu 26 (2) cha sheria kinasema footnote, au maelezo madogo ya pembeni sio sehemu ya sheria. Pingamizi langu ni kwamba, shahidi ambaye hajazitengeneza hizi nyaraka. Na hajaandikiwa yeye, hawezi kuzitoa yeye kuwa ushahidi. Tutamhoji vipi juu ya maudhui ya barua ambazo hajaandika yeye,, na wala hajaandikiwa yeye?
Mh. Jaji: Hoja kwamba hawawezi kuniita mimi kuwa shahidi kwa kuwa wamenishtaki, haiwapi uhalali wa kuleta document ambazo hawawezi kuhojiwa nazo. Hiyo hoja ya wakili naomba isipewe uzito.
LISSU: Wasonga ameielekeza Mahkama katika kifungu cha 25, kwamba pamoja na mapungu yote ya kisheria ya nyaraka zake, basi mahakama yako iweze kuamuru hizo document ziwe admitted. Mahakama inaweza summot”. But in this there must be a sufficient cause to allow the court to act. Hizo sababu hazijatolewa........................
WAKILI WA SEIRIKALI: by virtue of notice to produce, wakili alitambua kuwa hizi ni public documents. Hata wao kwa kuzitafuta toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi, it imply automatically kuwa wamekubali kuwa ni public. matiSasa narejea Sheria 82(1), 2010, sheria ya uchaguzi. Msimamizi wa uchaguzi atahakikisha kuhifadhi salama mwenendo mzima wa uchaguzi. Hizi nyaraka za mawakala ni sehemu inayorelate mwenendo mzima wa uchaguzi, Kifungu 83 (b) cha evidence act, kinasema document itakuwa public document pale inapoanza kuhusika na kumbukumbu ya Umma, hata kama ni ya mtu. Msimamizi wa Uchaguzi ni ofisa wa Jamhuri ya Muungano, ndo maana sisi tupo hapa kumtetea.
Kifungu hicho 82 kinaeleza kuwa yeye msimamizi ndiye atakayehifadhi.
Turejee sasa 85, document zinasema wazilipie fees na ziwe certified ndo ziletwe mahakamani. Tena ziwe certified na officer anayetunza. Wakili anataka kutumia shortcut.
Mheshimiwa jaji, kwa msingi huo, kwa hatua hii ya sasa, hazihitajiki kupokelewa mahakamani. Anafika hapa kuja kuomba mahakama, niseme kuwa mahakama sio mama yetu kwamba inaweza kutupatia kitu ambacho hatujaomba. Ndo maana sheria inasema, haziwezi kutoka mikononi mwa serikali mpaka ziwe certified. Hivyo zisipokelewe.
Wakili wa walalamikaji anaomba huruma ya Mahakama, jaji anamkatalia, na kumwambia kaa chini, hakuna issue mpya ambayo imekuwa raised.
Tunaendelea kusubiri busara ya jaji................
 
hatimae semina ya sheria au shule ya sheria yafunguliwa singida, mhadhiri Tundu Lisu nashauri hii kesi ikimalizika hakimu apandishwe cheo kwani atakua ameongeza mafunzo
 
Kifuatacho mahakamani: kesi ya kupinga matokeo jimbo la Arumeru mash. Mshtakiwa Joshua Nassari dhidi ya mlalamikaji Sioyi Sumary na Mwigulu Mgoni.

Picha inaendelea........,
 
Isango vp mbona kimya jamaa kaingia mitini
 
[h=1]Mwenendo wa kesi unaendelea, shahidi anayelalamika kuwa CHADEMA waliweka mawakala wengi, wakiwemo wa vyama vingine, kumejitokeza barua za mawasiliano kati ya John Chiligati kumtaka Augustino Mrema, awaunge mkono kupinga Tundu Lissu. Na kwa barua zinazosomwa hapa Mahakamani zinaonyesha kuna ushirikiano rasmi kati ya CCM na TLP.[/h]
Lissu amesimama kuweka pingamizi , kuwa Hamadi Tau ndo alipaswa kuileta hii barua, anatoa sababu kwa kumsomea jaji Kifungu cha 34(3)iii, sheria ya ushahidi
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Isangooooooooooooo!
Isangoooooooooo
Uko wapiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom