Kesi ya Tundu Lissu live toka Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Tundu Lissu live toka Singida

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Isango, Mar 26, 2012.

 1. I

  Isango R I P

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 295
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Singida Mashariki, inaendelea katika Mahakama Kuu- Mkoani Singida. Wafuasi wa Chadema pamoja na wafuasi wa CCM wamejaa mahakamani kusikiliza kesi, na shahidi wa kwanza anahojiwa sasa, Mama huyu anayeitwa Sophia, ambaye ni shahidi anasema hakumbuki baadhi ya tuhuma. Lissu anasimama kuanza kuhoji, nitaendelea kuwaletea
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Picha basi
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Lete hizo, natamani ingekuwa live. Tundu Lissu duhh.
   
 4. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tupe taarifa mkuu
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  umekabwa nini! mbona kimyaaaaaa.
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Tuhabarishe Mkuu..
   
 8. k

  kagame Senior Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyo mama kama anahojiwa na Lissu, naomba baada ya kumaliza mahojiano hayo kam kuna wanawake wenzake hapo mahakamani ni aheri wampatie paketi ya Always pads au Freestyle coz ni lazima aingie kwenye MP hata kama imekata juzi.
   
 9. N

  N series Senior Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kuna namna you can record hiyo conversation then utuwekee hapa tujipakulie kaka, utatusaidia sasa wengi mkuu
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Du tundu ni Wakili wa kesi yake mwenyewe?
   
 11. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,025
  Likes Received: 31,775
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha daah napita tu
   
 12. A

  AzimiolaArusha Senior Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45

  ahaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! uuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiii! sina mbavu, sometime ukiboreka ingia jamii forum!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Huyo ni jembe
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Tukesi twa Makamba utu hatuna tujicho wala tumiguu. Ni upotezaji wa mali za umma bure tu
   
 15. I

  Isango R I P

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 295
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][h=2]KESI YA TUNDU LISSU: MASHAHIDI WAKIMBIA MAHAKAMANI.[/h][h=2]Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Singida Mashariki, iliyofunguliwa katika mahakama Kuu, na inayosikilizwa na Jaji Moses Muzuna, imeingia kasoro baada ya Upande wa walalamikaji kukosa mashahidi.[/h][h=2]Awali baada ya mahojiano ya asubuhi yaliyowahusisha Shahidi Sophia Abdala Mhoji shahidi wa tano kuhojiwa na kasha kufuatiwa na mateo Cosmas Mnyambii, shahidi wa sita, jaju Moses mzuna aliahirisha kesi kwa muda kwa wakati wa mchana, na kuamuru kesi iendelee tena saa tisa alasiri. Katika hali isiyo ya kawaida, mara baada ya muda kufika, wakili wa walalamikaji, alisimama kumwomba jaji aahirishe kesi mpaka kesho kufuatia Shahidi aliyepaswa kuingia kutoonekana, na Yule mwingie ambaye alikuwa anapatikana hakuwa amejipanga vizuri. Awali baada ya mashahidi wawili kuhojiwa, wengine walikutana na viongozi wao wa CCM katika Hotel ya Lake hotel, Singida, wakaaonekana wakitofautiana na kutupiana maneno, kitendo kilichopelekea mashahidi wengine kuondoka kwenda vijijini. Baaya hapo tulirejea mahakamani na mambo yalikuwa hivi.[/h][h=2] [/h][h=2]Wakili Wasonga: inaonekana kuwa tunakuja kupoteza muda mahakamani. Mashahidi wengine wanaotoka kijijini wamerudi, na huyu anayepatikana karibu inaelekea ataongea vitu visivyo vya msingi. Naomba kesi iahirishwe hadi kesho tukajaribu kujipanga[/h][h=2]T/Lissu alisimama na kusema. ’Sitaki kumfundisha wakili namna ya kuendesha kesi yake. Wakili alipaswa kujua kuwa hajui kuwa mashahidi wake anaowaleta wanakuja kuzungumza mambo yasiyo ya msingi. Nashindwa kuelewa kwanini walimfanya mtu kuwa shahidi wakati wanajua hajui kinachobishaniwa mahakamani. Kutokana na ucheleweshaji huu, wakili wa walalamikaji, (ccm) wabebe gharama za kesi. Kwanini waliomba turudi mchana kama walikuwa hawajajiandaa sisi kuja hapa Mahakamani. Imekuwaje sisi tunarudi makahakamani kuja kuahirisha kesi, kwanini hawakusema mapema kuwa hawakujiaandaa?[/h][h=2] [/h][h=2]Jaji: Naungana watoa hoja. Ni vizuri wakili wa walalamikaji atumie muda mzuri, wakili uwe una waandaa mashahidi wako. Ila kwa sasa kwa kuwa tumeshasikiliza mashahidi wa asubuhi, naomba walalamikiwa wasibebe gharama ila ikijirudia mahakama itajua namna ya kuchukua hatua stahiki.[/h][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 16. M

  MCHARA Senior Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  huyo ndo Tundu Lissu lazima ccm wapoteane kwani Tundu ni kiboko katika mambo ya sheria!
   
 17. M

  Malova JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hivi Tundu Lissu maana yake nini?
   
 18. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Magamba wanatumia kila hali kupoza moto Arumeru! Kwa nini kesi ya mnyika na Lissu zianze wakti huu wa kampeni muda wote huo kwa nini zisianze maana wanaujua moto wa Mnyika na Lissu hayartasaidia lazima mteme jimbo!!
   
 19. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Swali lakipumbavu!
   
 20. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  najuta kukufahamu lisuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!11
  sio mimi ni maneno ya kiongozi mmoja mkubwa wa ccm leo alipoata castlelight pale serena hotel
  teehetteeehhhhh hizo pesa za mashahidi si mngejiandaa kuhonga 2015 akili ni nywele kila mtu ana zao sio zake
   
Loading...