Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
mwenzio natamani kuwa mdunguajihakuna kesi hapo ni mautumbo matupu....yaaani siku cccm inaondolewa madarakani nachoka vijiti vyangu kama 7 hivi vya kufanyia kitu flani hivi kama alivofanyiwa gadafi
Ukweli mtupo.....skiku moja nilikuwa narudi hom atown kutoka dar na basi aina ya fresh..barabarani tukakutana na lory limeishiwa mafuta .lori hilo lilikuwa linatokea nairob...mara dereva wa basi letu akawatupia kijembe..kuwa rizwan awe anawapa mafuta ya kutosha..maana wanadai anatoa lita 700 kwenda nairobi na kurud;;;;;
Mi nlisikia kama ametoa miaka 7, sio siku!!
Kadogoo masihara hayo! Mchezo na watumishi wa mungu sio kitu chema
Kulikoni na huyu mzee wa majini? Nitarudi baadae kidogo