Kurzweil JF-Expert Member May 25, 2011 6,622 8,410 Jun 28, 2016 #1 Habari wanaJF, Kesi ya uharibifu wa mali inayowakabili Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na madiwani 29 imeahirishwa hadi July 15 2016.
Habari wanaJF, Kesi ya uharibifu wa mali inayowakabili Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na madiwani 29 imeahirishwa hadi July 15 2016.