Kesi ya mungai yasogezwa mbele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya mungai yasogezwa mbele

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PayGod, Sep 30, 2010.

 1. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  KESI YA MUNGAI YASOGEZWA MBELE


  Kesi inamkabili , waziri wa zamani wa jk, J MUNGAI, imehairishwa hadi oct 15,

  [​IMG]Aliyekuwa waziri wa serikali zote nne za jamhuri ya muungano wa Tanzania na mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazin (mstaafu) Bw Joseph James Mungai ( kulia) akitoka katika jengo la mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Iringa leo baada ya kesi yake inayomkabili ya tuhuma za rushwa katika kura za maoni CCM kusogezwa mbele hadi Octoba 15 mwaka huu
  [​IMG]Bw Moses Masasi (mbele) ambaye ni mmoja kati ya watuhumiwa wawili waliounganishwa na Mungai akitoka mahakamani hapo asubuhi ya leo
  [​IMG]Bw Mungai na ndugu na jamaa zake wakitoka mahakamani hapo
  [​IMG]
  [​IMG]Hapa akiingia katika gari tayari kwa kuondoka mahakamani hapo
   
 2. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyu mzee wa watu wamemmemshushia heshima bure. Kama ni rushwa walitakiwa wamkamate Kikwete kwanza kabla ya wengine wote
   
Loading...