GE2025 Kesi ya mgombea urais SMZ kupitia CUF aliyeenguliwa Bw. Masoud

GE2025 Kesi ya mgombea urais SMZ kupitia CUF aliyeenguliwa Bw. Masoud

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,866
Reaction score
34,022
08 October 202
Zanzibar, Tanzania

KESI YA CUF DHIDI YA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAENDELEA KUSOTA MAHAKAMANI

1759999866603.jpeg

Wakili wa Bw. Hamad Masoud anayewania kiti cha urais wa serikali ya Zanzibar azungumza, hata ya mwanzo ya mapingamizi kuwa mahakama haiwezi kusikiliza kesi hiyo yaliyoletwa mahakamani yametupiliwa mbali, hivyo kesi ya Bw. Hamad Masudi dhidi ya Tume ya Uchaguzi ya Zanziba kuanza kusikilizwa

View: https://m.youtube.com/watch?v=lZoecBHkvKU

Hapo awali :

September 10, 2025: " Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC imemuengua Bw.Hamad Masoud Hamad kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha wananchi- CUF kwa kutokukidhi kigezo cha kuwa wanachama mia mbili katika mkoa wa Kaskazini Unguja huku mgombea wa ACT wazalendo Bw.Othman Masoud Othman akitakiwa mpaka kesho saa tatu asubuhi awe amewasilisha katika tume hiyo majina ya wanachama wake wa mikoa ya Kaskazini Unguja na Kusini Unguja.

1760000279876.jpeg

Jaji George Joseph Kazi mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
 
Back
Top Bottom