Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
Haya ndio makosa yao kumbe?Hawa ni MAGAIDI
kwasababu:-
•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji
•Waliuwa Watalii watatu Mombasa
•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar
•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi
•Walipishana mpaka na Waislam wenzao
•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu
Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.
Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k
Magaidi Matupu.
Bwanaako anafanya kazi mahakama kuu nn kakumegea hukumuHawa ni magaidi wasitolewe huko kabisa! Ni watu hatari kwa muungano!.Hakuna Rais yupo tayari Tanzania imfie mikononi MWAKE! Hao kutoka huko sio Leo wala kesho!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hawa ni MAGAIDI
kwasababu:-
•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji
•Waliuwa Watalii watatu Mombasa
•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar
•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi
•Walipishana mpaka na Waislam wenzao
•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu
Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.
Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k
Magaidi Matupu.
Ujue haya mambo ya masheikh wengi hatujui makosa yao, sasa kama sio hayo kwanini usimwage ukweli tupate elimu....Sho.ga wewe. Ni wakupuuzwa, wangejua humu me mwenyewe nishakula zigo ilo
Kama ni wao waliotekeleza hayo mambo hawastahili kutoka.Hawa ni MAGAIDI
kwasababu:-
•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji
•Waliuwa Watalii watatu Mombasa
•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar
•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi
•Walipishana mpaka na Waislam wenzao
•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu
Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.
Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k
Magaidi Matupu.
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WAITWA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA
Habari njema. Baada ya Jamhuri kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuyafuta mashitaka 14, kati ya 25, na kufanya kesi dhidi ya Masheikh ibaki na mashitaka 11, Mahakama ya Rufani leo tarehe 30. 04. 20021, imewasilisha hati ya wito kwa Mawakili wanaowatetea Masheikh.
Kwa mujibu wa hati hiyo ya wito Mahakama ya Rufani imepanga kuisikiza rufaa hiyo tarehe 07. 05. 2021, siku ya Ijumaa saa 3, asubuhi mbele ya Majaji wa Rufaa watatu.
Hatua hii ya haraka ya Mahakama inaashiria kuwepo kwa dhamira ya mapinduzi katika utendaji wa Mahakama Tanzania na tunaimani mwendo huo utakuwa endelevu.
Shura ya Maimamu Tanzania tunawaomba wananchi kuwa karibu na kesi hizi za ugaidi zilizofunguliwa na serikali dhidi ya Waislamu takriban nchi nzima.
Ust. Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura.
0713118812
Walikamatwa awamu ya ngapi?Katika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA
Jamuhuri inaitaji mashaidi, sasa ndio muende high court kutoa ushaidi Dada angu na uyo shoga yakoKama ni wao waliotekeleza hayo mambo hawastahili kutoka.
Jamuhuri inaitaji mashaidi, sasa ndio muende high court kutoa ushaidi Dada angu na uyo shoga yako
Tanzania hakuna ugaidi, na hakujawai tokea matendo ya kigaidi, vyombo vya ulinzi vipo makini, na kingine asili ya watanzania ni waoga na wanyenyekevu, hao masheikh issue yao walikuwa wanapinga muungano, na serikali imeapa kuulinda muungano kwa namna yoyote ileVipi tena sheikh mbona lugha ngumu katika hoja nyepesi? Ingependeza wewe unaojua ukapeleka ushahidi mahakamani kwamba hawahusiki.
Mimi binafsi napinga wanayofanyiwa hao masheikh ila kama narudia kusema tena kama walifanya hizo tuhuma basi wapate wanachostahili...Ugaidi ni hatari sana mkuu tusipepepese macho.
Ndio Mkuu, Hawa ni maadui wa Tz, Kenya na Somalia pia. Kote huko wana historia ya matukio mabaya sanaHaya ndio makosa yao kumbe?