Dinazarde pita uone uku mafagio yetu, kumbe hadi kwa kina sintah tunabamba eeh? Dah bas sie ni nyokoo, nimefurahi sana kuona nina mashabiki wengi wa maubuyu ahahaha shout out kwako popote ulipo kwa ufagio
Ila too Bad mimi bado sijajiunga uko kwa sintah, japokuwa watu wengi wananifananisha na nani sijui ila ki kweli mimi sipo uko, ila soon ntajiunga uko kama mnanikubali gossipcop wenu, bas sawaaa. Cc: Mrembo by Nature, geniveros

nilishasahau hata kuwa ana mashtaka
yani kama hii kesi ipo haina hata mvuto tenaHata mimi
Hii kesi ya lulu ishapigwa kimya tu wanajiongeleshaaaa tu
Nimekumis
Kwa sasa kesi haina msukumo wowote, yaliyobaki yote Lulu ana uwezo wa kuyamaliza kwa kutumia uwezo wake.
yani kama hii kesi ipo haina hata mvuto tena
Niko makini sana binamu, usalama muhimu