GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Septemba 18, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,410
Reaction score
4,988
Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo September 16, 2025 imehairisha Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hadi September 18, 2025 ili upande Jamhuri uanze kujibu hoja za Lissu ambazo ameiomba Mahakama imuachie huru kutokana upungufu wa hati ya mashikata.

Katika kesi hiyo Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2) (d) cha sheria ya kanuni ya adhabu linalotokana na maneno aliyotamka kuhusiana na kuzuia kufanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Pia soma
 
Hakuna kesi pale , majaji kwa lugha ya kamahakama huitwa lord, sasa kwa maamuzi yao ya juzi inawezekana vipi itwa jina hilo tena
 
Write your reply...leo ni yanga vs simba siasa ni upuuzi
SIasa zinahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili kuzijadili
Na Taifa letu halina idadi kubwa ya watu wa aina hiyo

Michezo haiwezi kuwa agenda kubwa kuliko agenda za kutetea Hadi kitaifa na kisiasa kwa Taifa LENYE watu wenye uwezo mkubwa wa kufirikiria

Watanzania wengi sio wote wanaoenda Vitu ambavyo havitumia Sana akili Kama ushabiki wa kijinga wa Simba na yanga

Maana hata kuhoji kwanini viongozi wao wa michezo wanajiingiza kwenye Siasa ni ngumu
Ndo maana hata ushabiki wao wengi ni WA kijinga sio critical
 
Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo September 16, 2025 imehairisha Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hadi September 18, 2025 ili upande Jamhuri uanze kujibu hoja za Lissu ambazo ameiomba Mahakama imuachie huru kutokana upungufu wa hati ya mashikata.

Katika kesi hiyo Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2) (d) cha sheria ya kanuni ya adhabu linalotokana na maneno aliyotamka kuhusiana na kuzuia kufanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Pia soma
Ila Lissu ni kiboko! Watamnyonga LAKINI hawatolala usingizi maisha yao yote!
Very inspiring!
 
Back
Top Bottom