Kesi ya kupinga matokeo Arusha mjini, yaendelea

Sasa kama Al-qaida wanafunga vitambaa kichwani anachompinga Lema ni nini?
manake Batilda Burian hufunga kitambaa kichwani.Hivyo ni al-qaida.
Kwa tafsiri ya huyo Mheshimiwa sana Shahidi wetu CCM, FF nae ni Al-qaida! Al-qaida FF funguka uthibitishe hili.
 
Mahojiano yanaendelea kati ya wakili na shahidi
1.Wakili.Je Batilda aliwatuma mfungue kesi kwa niaba yake?
2.Shahidi.Hapana,hakunituma mimi wala wenzangu
3.Wakili.Je aliwapa nguvu ya kisheria(power of attorney)ya kumwakilisha mahakamani?
4.Shahidi.Hapana
5.Wakili.Je hayo maneno ya kashfa aliyotoa Mh Lema yalikuudhi wewe binafsi au na wengine yaliwaudhi?
6.Shahidi.Yaliniudhi mimi binafsi.
 
1.Wakili.Eleza mahakama,ni kitu gani(neno) hasa,kilichokugusa kama Musa Nkangaa,hadi ukaamua kufikia uamuzi wa kufungua kesi,
2.Shahidi.kilichifanya nifungue kesi,ni unyanyasaji wa kijinsia
3.Wakili.Je umeumia zaidi ya Batilda au zaidi ya familia ya Batilda?
4.Shahidi.Ndio nimeumia zaidi yao wote
 
Yaani ni burudani ya kiaina. Huyo shaidi alitumwa lazima.
 
Reactions: FJM
huyu mshahidi anatokea wapi hembu jaribu kuuliza au kabla hajafika hapo alipitia Matejoo kunywa kachasu(gongo)

huyu shahidi kama sikosei aliwahi kuwa diwani na kwahakika hajui kusoma wala kuandika.
 

duh! Huyo Shahidi amelikoroga lazima alinywe halafu mpaka hapo kesha prove failure
 
Wamemtuma alafu hawakumpanga!kazi kweli kweli
 
Kesi zenye mashahidi namna hii ziendelee tu ili tuongeze siku za kuishi kwa kucheka! coz tukio la kucheka kwa baadhi ya watu ni adimu sana.
 
Musa mkanga alikuwa diwani wa sombetini,ana sifa ya kutojua kusoma na kuandika.alijiuzulu udiwani 2007 kwa kashfa ya kuuza uwanja pale levolosi,huwa ni mshauri wa mama batilda ktk mambo ya ze sangomaz
 
hapo kwenye bold:Huyu Musa awe mwangalifu na kauli zake, aisitukane watu na kuwahusisha na wauaji, mama yangu sasa ana miaka zaidi ya 80a anafunga kitambaa....Musa anasema hata huyu ni Al-qaeda, huyu jamaa amepotoka
 
Mkuu Nanyaro huyu musa mkangaa anahata akili ya dawa amejaliwa akili yakuto kujinyia tuu endelea kutujuza
 
hapo kwenye bold:Huyu Musa awe mwangalifu na kauli zake, aisitukane watu na kuwahusisha na wauaji, mama yangu sasa ana miaka zaidi ya 80a anafunga kitambaa....Musa anasema hata huyu ni Al-qaeda, huyu jamaa amepotoka
mkuu tuweke wazi kama mama mwakaboko nae ni Al-qaeda....lol
 
Kesi zenye mashahidi namna hii ziendelee tu ili tuongeze siku za kuishi kwa kucheka! coz tukio la kucheka kwa baadhi ya watu ni adimu sana.
Zinatumia kodi ya watanzania na zina wapotezea wabunge muda wa kufanyakazi....
 
Kazi kweli kweli yaani kumtambua al quida ni kwa kuvaa kitambaa kichwani? Na sio kwa kufanya ugaidi? Basi naona uelewa wake ni finyu hastahili kuwa shahidi kwa sababu namharibia anaye mtetea.

Nadhani ata wewe umeshindwa kujua Al-Qaida ni nani, sio magaidi wote ni wanaitwa Al-Qaida, ina wezekana huyo shahidi yupo right kwenye ya tafsiri ya Al-Qaida..

Lema, yeye alivyosema Al-Qaida alikuwa anajua ni kina nani?
 
Ama kweli ukosefu wa elimu ni mzigo kwa jamii zetu.

Huyu Musa Mkanga ni nani hasa kwa sister Matilda?
Ama amemtumwa na akakosea namna ya kuongea?

N. Ephata!

Kesi ilipigwa kalenda mpaka lini? Ama imeonekana ni upupu na ikatupiliwa mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…