Haki ni kama maji ya mafuriko huwezi kuyazuia kwakuyafukia kwa michanga. Hakika utajitahidi kuyafukia, lakini mwisho wa yote ni mawili 1- kuchoka ( wewe mwenyewe ) 2- kuishiwa hiyo michanga, nahapo hupelekea majiyale kua na nguvu nakupasua kuta ya nyumba namwisho wayote hupelekea madhara kwa mzuia maji yale. Hii ni methali wasio ijua ( wanaijua ila wanaidharau ) serkali yetu. Haki ya mtu hutakiwi kuikalia unatakiwa kuitoa kwa mhusika wa haki ile, kitendo cha kuizuia/kuikalia kuna madhara mawili yatatokea 1-kutoaminiwa/kukosa heshma kwa mtu anae kalia haki ya mwenye haki 2- kupata fedheha/haibu pindi haki inapo dhihiri. HAKIKA MUNGU NDIO MJUZI WAYOTE.