Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,603
Si kweliNgichi anadhihirisha jinsi gani upolisi hata usome vipi hauelimiki
Si kweliNgichi anadhihirisha jinsi gani upolisi hata usome vipi hauelimiki
Si kweli
Kibatala na mallya ni makatili Sana maswali gani haya mnamuuliza huyu mlala nje(polisi)....
😂😂😂 Kamanda kazamisha jahazi hivihivi analitazama
Ni kweli kachemka, lakini si kweli kwamba polisi hata asome vipi hawezi kuelimikaMajibu ya Ngichi haya, hajui kila kitu hata jinsia yake
SSP:KimyaSehemu ya mahojiano kati ya Wakili msomi John Malya na Mkuu wa upelelezi mkoa wa kipolisi Kinondoni, Mrakibu mwandamizi wa Polisi (SSP) Gerald Ngichi.
MALYA: Una miaka mingapi?
SSP Ngichi: 47
MALYA: Ulizaliwa mwaka gani?
SSP Ngichi: 1972
MALYA: Wakati unajiunga na Jeshi la Polisi ulikuwa na Miaka mingapi?
SSP Ngichi: Kimya
HAKIMU: Shahidi jibu tafadhali
MALYA: Kama hukumbuki nikusaidie?
SSP Ngichi: Nilikua na miaka 28
MALYA: Ulikuwa na taaluma gani?
SSP Ngichi: Degree ya Sheria
MALYA: Kwa mujibu wa PGO ni sahihi kwamba mtu akiwa na miaka 28 haruhusiwi kujiunga na jeshi la Polisi?
SSP Ngichi: Inategemea na elimu yake
MALYA: Kesi unayoitolea ushahidi inahusiana na maswala ya uchaguzi nyinyi kama wadau mlipewa elimu juu ya usimamizi wa uchaguzi?
SSP Ngichi: Natolea ushahidi kesi ya maandamano sio mambo ya uchaguzi
MALYA: Lakini hayo maandamano si yanatokana na uchaguzi?
SSP Ngichi: Ndio
MALYA: Ulipewa ratiba ya mikutano ya vyama vya siasa?
SSP Ngichi: Ndio
MALYA: Nani alikupatia?
SSP Ngichi: RPC Kinondoni
MALYA: Yeye alipewa na nani?
SSP Ngichi: Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni
MALYA: Kifungu cha 51 (5) cha sheria ya Uchaguzi kinamtaka Mkuu wa Wilaya ndiye awape polisi nakala ya Ratiba za kampeni. Kwa kifungu hiki, huoni kwamba mmevunja sheria?
SSP Ngichi: Kimya
MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?
SSP Ngichi: Vingi sikumbuki idadi yake
MALYA: Unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?
SSP Ngichi: Vilikua zaidi ya Hamsini
MALYA: Unafahamu mawakala lazima wale kiapo?
SSP Ngichi: Ndio
MALYA: Unafahamu kila mgombea anaweka utaratibu na Mkurugenzi wa namna mawakala wake kuapa?
SSP Ngichi: Ndio
MALYA: Kwahiyo mlifanya makosa kuvuruga mawakala wa Chadema kwenda kuapa?
SSP Ngichi: Walifanya maandamano yasiyo halali
MALYA: Ulijuaje ni maandamano?
SSP Ngichi: Walivuka barabara
MALYA: kama walivuka barabara ulijuaje kama walikuwa wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba?
SSP Ngichi: Hazifanyiki barabarani
MALYA: Zinafanyika wapi?
SSP Ngichi: Nyumbani
MALYA: Ili ufike nyumbani unapita wapi?
SSP Ngichi: Barabarani
MALYA: Kwahiyo unakubali walikua wanavuka barabara ili wakafanye kampeni za nyumba kwa nyumba?
SSP Ngichi: Waliandamana
MALYA: Kwanini?
SSP Ngichi: Kwa sababu walikua na viongozi wao
MALYA: Wataje
SSP Ngichi: Heche, Matiko, Msigwa na wengine
MALYA: Unajua sifa za mtu kuwa wakala?
SSP Ngichi: Hapana
MALYA: Unajua Heche alikua Wakala?
SSP Ngichi: Sifahamu
MALYA: Unajua Matiko alikua wakala?
SSP Ngichi: Sifahamu
MALYA: Unajua Msigwa alikua Wakala?
SSP Ngichi: Sifahamu
MALYA: Je unakubali kwamba viongozi hao walikua wanaongozana na mawakala wenzao kwenda kwa Mkurugenzi kula kiapo?
SSP Ngichi: Kimya
Hawa jamaa watamuua huyu SSP NGICHIView attachment 1098288
Aliyesema bando leo ni muhimu kuliko pesa ya kula hakukosea,
Bado haibadilishi ukweli kwamba pamoja na mapungufu ya islams ila ukristo umejaa maigizo sana.
Hii sio mara ya kwanza kwa viongozi wa makanisa makubwa kukutwa na kashfa km hizo na tuhuma zilizothibitishwa.
Yeye gwajima amekuwa nani kuushinda huo "utelezi"
Nyie mnapenda sana vitu "vitamu"
Haaahaaahaa
Mkuu it's impossible militarily to put a military base with out protection from the soroundings fear foot soldiers who can attack your base Isreal use land mines or cluster bombs.....and UN had complained to Isreal to stop using those weapon but it has only given a deaf hear
Sio lazima uamini ninachokiamini mimi mkuu..!
NA HAPO JAMAA KASOMEA SHERIAHapo mjengoni nako wanapiga posho tu
Matumizi yote atapanga jiwe
Kibatala na mallya ni makatili Sana maswali gani haya mnamuuliza huyu mlala nje(polisi)....
Huyu jamaa bora alewe pombe tu baada ya mahojiano majaa yanapiga sana za chembeKibatala na mallya ni makatili Sana maswali gani haya mnamuuliza huyu mlala nje(polisi)....
ila tofauti yake ni kwamba siyo wakili msomiMKUMBUKE HAPO SSP NGICHI KASOMEA SHERIA
Wewe basi kazi inayokufaa ni RC DarNatamani kuwa mwanasheria ila Zero Ya form Four imeniponza
Nguchi atapiga ngumi mtu aiseSehemu ya mahojiano kati ya Wakili msomi John Malya na Mkuu wa upelelezi mkoa wa kipolisi Kinondoni, Mrakibu mwandamizi wa Polisi (SSP) Gerald Ngichi.
MALYA: Una miaka mingapi?
SSP Ngichi: 47
MALYA: Ulizaliwa mwaka gani?
SSP Ngichi: 1972
MALYA: Wakati unajiunga na Jeshi la Polisi ulikuwa na Miaka mingapi?
SSP Ngichi: Kimya
HAKIMU: Shahidi jibu tafadhali
MALYA: Kama hukumbuki nikusaidie?
SSP Ngichi: Nilikua na miaka 28
MALYA: Ulikuwa na taaluma gani?
SSP Ngichi: Degree ya Sheria
MALYA: Kwa mujibu wa PGO ni sahihi kwamba mtu akiwa na miaka 28 haruhusiwi kujiunga na jeshi la Polisi?
SSP Ngichi: Inategemea na elimu yake
MALYA: Kesi unayoitolea ushahidi inahusiana na maswala ya uchaguzi nyinyi kama wadau mlipewa elimu juu ya usimamizi wa uchaguzi?
SSP Ngichi: Natolea ushahidi kesi ya maandamano sio mambo ya uchaguzi
MALYA: Lakini hayo maandamano si yanatokana na uchaguzi?
SSP Ngichi: Ndio
MALYA: Ulipewa ratiba ya mikutano ya vyama vya siasa?
SSP Ngichi: Ndio
MALYA: Nani alikupatia?
SSP Ngichi: RPC Kinondoni
MALYA: Yeye alipewa na nani?
SSP Ngichi: Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni
MALYA: Kifungu cha 51 (5) cha sheria ya Uchaguzi kinamtaka Mkuu wa Wilaya ndiye awape polisi nakala ya Ratiba za kampeni. Kwa kifungu hiki, huoni kwamba mmevunja sheria?
SSP Ngichi: Kimya
MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?
SSP Ngichi: Vingi sikumbuki idadi yake
MALYA: Unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?
SSP Ngichi: Vilikua zaidi ya Hamsini
MALYA: Unafahamu mawakala lazima wale kiapo?
SSP Ngichi: Ndio
MALYA: Unafahamu kila mgombea anaweka utaratibu na Mkurugenzi wa namna mawakala wake kuapa?
SSP Ngichi: Ndio
MALYA: Kwahiyo mlifanya makosa kuvuruga mawakala wa Chadema kwenda kuapa?
SSP Ngichi: Walifanya maandamano yasiyo halali
MALYA: Ulijuaje ni maandamano?
SSP Ngichi: Walivuka barabara
MALYA: kama walivuka barabara ulijuaje kama walikuwa wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba?
SSP Ngichi: Hazifanyiki barabarani
MALYA: Zinafanyika wapi?
SSP Ngichi: Nyumbani
MALYA: Ili ufike nyumbani unapita wapi?
SSP Ngichi: Barabarani
MALYA: Kwahiyo unakubali walikua wanavuka barabara ili wakafanye kampeni za nyumba kwa nyumba?
SSP Ngichi: Waliandamana
MALYA: Kwanini?
SSP Ngichi: Kwa sababu walikua na viongozi wao
MALYA: Wataje
SSP Ngichi: Heche, Matiko, Msigwa na wengine
MALYA: Unajua sifa za mtu kuwa wakala?
SSP Ngichi: Hapana
MALYA: Unajua Heche alikua Wakala?
SSP Ngichi: Sifahamu
MALYA: Unajua Matiko alikua wakala?
SSP Ngichi: Sifahamu
MALYA: Unajua Msigwa alikua Wakala?
SSP Ngichi: Sifahamu
MALYA: Je unakubali kwamba viongozi hao walikua wanaongozana na mawakala wenzao kwenda kwa Mkurugenzi kula kiapo?
SSP Ngichi: Kimya
Hawa jamaa watamuua huyu SSP NGICHIView attachment 1098288
Natamani kuwa mwanasheria ila Zero Ya form Four imeniponza
Ha ha ha kuwa shahidi ni mtiti.Kamanda kazamisha jahazi hivihivi analitazama
kwa hiyo kuna watu wengine hatufai kufanya baadhi ya kaziKesi zoote za mabinti ungezikusanya ww ndo uwatete aisee,
Hapana bana uza tu kiepe boy,