Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Kesi No2 ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Kigoma kusini ilofunguliwa na David Kafulila dhidi ya mbunge Hasna Mwilima, Msimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria mkuu wa serikali imeahirishwa mpaka machi9, 2016.
KESI hiyo ambayo ilikuwa I anze Leo katika mahakama ya Hakimu mkazi Kigoma, Mbele ya Jaji Dr Wambari ambae ni Mkuu wa chuo cha sheria lushoto, imeahitishwa kwasababu mshatkiwa Husna pamoja na wakili wake Kennedy Fungamtama pamoja na mawikili wa serikali kushindwa kufika mahakamani hapo, huku David Kafulila alifika na wakili wake Prof Safari.
KATIKA mazingira hayo Jaji aliagiza mawasiliano yafanyike kwa pande hizo ili kujua ni lini kwa hakika mawakili hao wataweza kushiriki. zoezi hilo lilipelekea kikao kusimama kwa saa mbili kutoka satano mpaka sasaba mchana. na baada ya hapo mahakama ilirejea na Jaji kutoa taarifa kuwa kesi itaendelea machi9, 2016 na kwamba kwakuwa tarehe hiyo inapendekezwa na mawakili w alioshindwa kufika basi lazma kesi hiyo iendelee tarehe hiyo hasa kwa kuzingatia dhamira ya mahakama kwasasa kuwa kesi hizi zimalizke haraka na hivyo kufikia tarehe hiyo ya march9, kesi itasikilizwa mfululizo.