Kesi ya DED wa Itigi iliishia wapi?

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,830
2,417
Leo jion nimekaa nikayakumbuka makaburi mawili nikasema ngoja niwakumbushe wahenga humu ndani either nitapata majib yaliyonyooka.

1. Hivi ile kesi ya DED wa Itigi ambayo alituhumiwa kumuua raia kanisan na ilionekana kuna ushahidi wa kutosha kutoka kwa mashuhuda ndani ya kanisa iliishia vipi?

2. Jana nimeona kesi iliyofunguliwa kuhusu kuzuia wakurugenzi kusimamia uchaguzi na upande wa mshati ulishinda hiyo kesi mbele ya Jaji ngwala. .Lakin swali langu linabak kuwa kumbe walipatana au kesi imewaunganisha nadhan picha itajieleza huku nikihitaj majibu ni lini na wap walipatana?
IMG_20190511_233713.jpg
 
Samahanini,
Nahitaji kujua yule mkurugenzi sijui mtoto wa Dada yu wapi kwa sasa?
Na ile kesi yake ya mauaji inaendeleaje?iliishia wapi?
Asante!
 
Ujue hakuna usawa duniani Zaidi ya kifo tu usidanganyike mimi ni wawanyonge ,ukifanya mchezo nakutumbua etc.Pambana na hali yako na Mungu wako .Hapa tunasahaulishwa utaambiwa hakuua,familia itasaidiwa ,jamaaa atatoka kimya kimya jela kesi itaendeshwa na Uncle angu kwa remote control mlie nyie msie na Uncle lazima mfungwe au myongwe mpaka mfe.Muda utaongea lakini yote yanamwisho
 
Back
Top Bottom