Kesi ya Chenge na Kibajaj leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Chenge na Kibajaj leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boney E.M., Aug 13, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2009
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wana JF ile kesi tuliokuwa tukiisubiri kwa muda mrefu inayohusu ajali ya Chenge na Kibajaj ni leo katika Mahakama ya Kinondoni. Wale mlio karibu na huko tuhabarisheni tafadhali.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  naomba mungu huyu chenge afungwe hata miaka elfu kumi kwa alivoitafuna tanzania
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kiongozi sijakuelewa kesi ya chenge kugonga kibajaj na kuitafuna nchi plus kufungwa miaka elfu kumi ,mbona nakosa link hapa...
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ninaamini kupitia hiyo kesi ya kugonga bajaj basi ndo mungu katupatia nafasi ya kumuhukumu chenge kwa sababu kwa dhambi nyingi alizotufanyia bado serikali inamuogopa kumfungulia mashtaka so kama ningekuwa hakimu kwenye shtaka hilo ningetumia nafasi na upenyo huo huo kumpiga mnvua za kutosha huyo fisadi alietafuna tanzania miaka nenda rudi na alaaniwe chenge fisadi, muuaji, mfitini, mchoyo, fedhuli, ....
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  naomba sheria ichukue mkondo wake na wala isipindishwe.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...