Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

List ya watoto(now ni watu wazima) waliofanyiwa ubakaji na babu sea (kama ni kweli) wapo wapi..?


Alicia Longino
Rehema Mgweno
Juliet Mbank
Dei Jaffari
Yasinta Mbele
Agnesta Sia
Amina Shomari
Gift Kipwapwa
Isabella Angomile
Agnesta Sia.
Kama walisingizia...hawa watoto watakuwa wameharibiwa kisaikolojia
 
Ulienda?
 
Ukifatilia ile kesi kuna mambo mengi ya ukakasi, kifupi ilitengenezwa.
 
me nilisikia ni anga za huyo mtalii muungwana dats why pia yasemwa jamaa kutoka may be awe anavyoomba kwa Mungu kuwa atoke pia awe anamuombea mtalii atoke madarakani either kwa kusinda uchaguzi au lolote baya else angalau wasubirie mpaka 2015
Uliona mbali Sana aisee,ilikuja kuwa kweli
 
I will be back
 
Nguza Viking atakua wapi sijui,

Sijamsikia muda sana
 
Siku zina sana maana Wale watoto sasa hiv nao wana watoto.
 
me nilisikia ni anga za huyo mtalii muungwana dats why pia yasemwa jamaa kutoka may be awe anavyoomba kwa Mungu kuwa atoke pia awe anamuombea mtalii atoke madarakani either kwa kusinda uchaguzi au lolote baya else angalau wasubirie mpaka 2015
Na Ikawa hivyo.
Politico-reincanstate.
 
Haya Tena wafukunyungu tupo Kama kawa NI miaka kidogo hili saga liliikamata Sana dar. Je UKWELI ulipatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…