KESI KUAHIRiSHWA NI SIKU NGAPI?

dafuzima

Member
Apr 8, 2018
92
67
habari wana janvi mimi nna ndugu yangu ana kesi inayomkabili,alipewa dhamana akapangiwa siku ya kesi kusikilizwa siku ilipofika wakamjib upelelez haujakamilika akard nyimbani,

mara ya pili akapangiwa siki ya kurudi ila poa hakisikilizwa akajibiwa kuwa upelelez bado?na kila akienda wale washitaki hawaoni kabisa yaan akienda pale anakuwa n yy na kurd

sasa tnashindwa kuelewa je sheria ya kesi kutosikilizwa na kupigwa tu tarehe je haki kwa mshitaki ?na kama kweli upelelez haujatimia je ni siku ngap au mara ngapi kesi ikiitwa na kuahrishwa inafikia ukomo?
maana toka mwez wa pili kesi had leo ko mahakaman ila hata kusikilizwa bado kabisa na mshitaki analazmika kusafri kila mda unapofika ila anardishwa

naombeni sana mawazo yenu kwa mtu anayeelewa sheria za kuahrishwa kw kesi yeyote kisa upelelez haujakamilika




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom