jino kwa jino JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 794 Reaction score 192 Feb 15, 2011 #1 wapenzi napenda kujua kama sikuu kuu ya kesho ni kweli ipo au lah nipange ratiba yangu kabisa na mamsap nataka niwe nae kesho for 24hrs kama ATM, knye kalenda yaonyesha kesho ni maulidi
wapenzi napenda kujua kama sikuu kuu ya kesho ni kweli ipo au lah nipange ratiba yangu kabisa na mamsap nataka niwe nae kesho for 24hrs kama ATM, knye kalenda yaonyesha kesho ni maulidi
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Feb 15, 2011 #2 hapana ni siku ya kazi tuendelee kujenga taifa
jino kwa jino JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 794 Reaction score 192 Feb 15, 2011 Thread starter #3 Maria Roza said: hapana ni siku ya kazi tuendelee kujenga taifa Click to expand... sasa sikukuu ni lini coz kalenda zinaonyesha ni maulid
Maria Roza said: hapana ni siku ya kazi tuendelee kujenga taifa Click to expand... sasa sikukuu ni lini coz kalenda zinaonyesha ni maulid
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Feb 15, 2011 #4 jino kwa jino said: sasa sikukuu ni lini coz kalenda zinaonyesha ni maulid Click to expand... Maulid ni nani? mie kalenda yangu inaonyesha itakuwa 16-02-2011 :twitch:
jino kwa jino said: sasa sikukuu ni lini coz kalenda zinaonyesha ni maulid Click to expand... Maulid ni nani? mie kalenda yangu inaonyesha itakuwa 16-02-2011 :twitch:
Babu Lao JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2,042 Reaction score 180 Feb 15, 2011 #5 Maria Roza said: Maulid ni nani? mie kalenda yangu inaonyesha itakuwa 16-02-2011 :twitch: Click to expand... Maria Roza acha utata!!!!
Maria Roza said: Maulid ni nani? mie kalenda yangu inaonyesha itakuwa 16-02-2011 :twitch: Click to expand... Maria Roza acha utata!!!!
jino kwa jino JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 794 Reaction score 192 Feb 15, 2011 Thread starter #6 Maria Roza said: Maulid ni nani? mie kalenda yangu inaonyesha itakuwa 16-02-2011 :twitch: Click to expand... poa ntapela ED nshajikok kesha niko nayo geto
Maria Roza said: Maulid ni nani? mie kalenda yangu inaonyesha itakuwa 16-02-2011 :twitch: Click to expand... poa ntapela ED nshajikok kesha niko nayo geto
Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,342 Feb 15, 2011 #7 Yap,kesho tutaungana na waislam ktk maulid. Nawatakia sikukuu njema wote wanaoamini ktk Uislam.