Mkuu nakuja Hapo mlezi geto kwakoMimi ni made from Morogoro ila kwa sasa niko dodoma kwenye harakati za utafutaji wa maisha mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu sisi mbona ni washkaji muda mrefu huwa nakuja Sana hapo geto kwako
[emoji3][emoji3][emoji3] njoo bhana mkuuHapana mkuu sisi mbona ni washkaji muda mrefu huwa nakuja Sana hapo geto kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani kwakwambia mi nina upungufu wa kinga?Sawa lakini vipi status yako ya HIV na ya kwao pia maana hata kama unatumia kinga kitendo cha kungonoka bila mpangilio kina athari kubwa kwa muathirika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpishi huko hotelini kwenu? Unapika pilau sana eti?Narudia tena pole sana ewe kitunguu swaumu.
Mpishi huyoInaonekana unapenda sana hayo mavitunguu swaumu maana kila coment yako lazma uyaweke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa kweli maana tena huwa anayatwangia kwny tule tuvinu tudogo cjui tunaitwaje ila anatujua tu.Mpishi huyo