Kesho ni BANKERS' DAY

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,466
Reaction score
5,180
Mwaka jana tulipata usumbufu sana baada ya mabenki kuto funguliwa kutokana na hii siku yao ya kufanya mahesabu yao ya mwaka.
Tujihadhari, hamna taarifa rasmi zenye kutuelekeza tufanye nini.
Wenye mahitaji ya kifedha muende kwenye mashine kungali mapema.
 

Thanx.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…