He's being sarcasticRelax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
You're missing the pointRelax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Mafisadi wameumizwa sanaWakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri.Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Dr Bashiru ni mpuuzi umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni.Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar waTanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Bashiru atuachie tu chama chetu, Sasa hivi vitu bwerere sokoni bei ya kutupa vyakula bei rahisi tu kama Maharage, Mchele, Unga, Mafuta ya kupikia kila kukicha vinashuka bei ukilala njaa ni kujitakia tu.Wakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri.Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Dr Bashiru ni mpuuzi umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni.Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar waTanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Hahahahaha hujatofautiana sana KIBAJAJI na Msukuma hongera kwa kutetea hojaWakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri.Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Dr Bashiru ni mpuuzi umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni.Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar waTanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Moja kati ya maandishi ya kijinga kukutana nayo humu jf kwa mwaka huu hii ni namba mojaWakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri.Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Dr Bashiru ni mpuuzi umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni.Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar waTanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Na kweli hujamuelewa mleta uziRelax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Wakuu heshima mbele,