Kesho naitupa line ya Halotel rasmi

Kesho naitupa line ya Halotel rasmi

Lofawamali

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
304
Reaction score
146
Habari zenu keaho nimeamua mwenyewe kuachana na Halotel nahamia zangu Ttcl rasmi.

Nimejaribu kuwavumilia haka kamchezo kao ka kupoteza dira kwenye suala la internet coverage, Lakini yamenishinda kwa kweli.

Kwa nini hata hawatujali wateja wake?? Costumer care kuwapata shida.Hata ukipatwa na dharura wewe mezea mate tu mana si rahisi kuwapata.

Shaabashhhhh !!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom