The Only Ukikua utaacha,Watu siku hizi hawaumizi kichwa kwa ajili ya mapenzi,tafuta chappaa,tafuta salary hamka wenzako hawalali,mademu wapo wengi sana sana hadi wengine wanakosa wanaume,tafuta salary
kifua unacho lakini??? mana usisikie watu wamefumania ukadhani rahisi angalia usije ishia kuua bure, kama unajiona una mahasira yamekukaba achana na fumanizi hilo endelea na maisha yako