Kesho mjini kutakuwa kimya!!!!!!

Bijou

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,249
Reaction score
360
Baada ya SIMBA kupata kichapo Leo, angalau kesho KUTAKUWA KIMYA, chezea Yanga weyeeeeeeeeeee!!!!!
 
Kwani Yanga ndiyo wameifunga Simba?????? Mbona hata nyie waliwashika masaburi!!!
 
Nimeipenda tangazaji ya Enock Bwigane!

Yanga walivyokuwa wakipeleka mashambulizi ya kikubwa Cammarade Enock Bwigane anaimba, UTAIPENDAAAAAAA!!!! Hiyo ndo Yanga bwana!!!
 
yakhe! ukiona damu yamwagika ujue mnyama kashachinjwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…